Manabii walionitangulia, na waliokutangulia, walitabiri habari za vita, na za mabaya na za tauni juu ya nchi nyingi, na juu ya falme kubwa.
Yona 3:1 - Swahili Revised Union Version Neno la BWANA likamjia Yona mara ya pili, kusema, Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Neno la Mwenyezi-Mungu likamjia Yona mara ya pili: Biblia Habari Njema - BHND Neno la Mwenyezi-Mungu likamjia Yona mara ya pili: Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Neno la Mwenyezi-Mungu likamjia Yona mara ya pili: Neno: Bibilia Takatifu Ndipo neno la Mwenyezi Mungu likamjia Yona mara ya pili: Neno: Maandiko Matakatifu Ndipo neno la bwana likamjia Yona mara ya pili: BIBLIA KISWAHILI Neno la BWANA likamjia Yona mara ya pili, kusema, |
Manabii walionitangulia, na waliokutangulia, walitabiri habari za vita, na za mabaya na za tauni juu ya nchi nyingi, na juu ya falme kubwa.
Simba amekwisha kunguruma, ni nani asiyeogopa? Bwana MUNGU amenena, ni nani awezaye neno ila kutabiri?