Yona 3:2 - Swahili Revised Union Version2 Ondoka, uende Ninawi, mji ule mkubwa; ukaihubiri habari nitakayokuamuru. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema2 “Nenda Ninewi, ule mji mkuu, ukawatangazie watu ujumbe niliokupa.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND2 “Nenda Ninewi, ule mji mkuu, ukawatangazie watu ujumbe niliokupa.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza2 “Nenda Ninewi, ule mji mkuu, ukawatangazie watu ujumbe niliokupa.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu2 “Ondoka uende katika mji mkubwa wa Ninawi, ukautangazie ujumbe ninaokupa.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu2 “Ondoka uende katika mji mkubwa wa Ninawi, ukautangazie ujumbe ninaokupa.” Tazama suraBIBLIA KISWAHILI2 Ondoka, uende Ninawi, mji ule mkubwa; ukaihubiri habari nitakayokuamuru. Tazama sura |