Ikawa alipokuwa akipita mashambani siku ya sabato, wanafunzi wake walianza kuendelea njiani wakivunja masuke.
Yohana 9:14 - Swahili Revised Union Version Nayo ilikuwa sabato, hapo Yesu alipofanya zile tope na kumfumbua macho. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Siku hiyo Yesu alipofanya tope na kumfumbua macho mtu huyo, ilikuwa siku ya Sabato. Biblia Habari Njema - BHND Siku hiyo Yesu alipofanya tope na kumfumbua macho mtu huyo, ilikuwa siku ya Sabato. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Siku hiyo Yesu alipofanya tope na kumfumbua macho mtu huyo, ilikuwa siku ya Sabato. Neno: Bibilia Takatifu Basi siku hiyo Isa alitengeneza tope na kuyafungua macho ya huyo mtu ilikuwa Sabato. Neno: Maandiko Matakatifu Basi siku hiyo Isa alipotengeneza tope na kuyafungua macho ya huyo mtu ilikuwa Sabato. BIBLIA KISWAHILI Nayo ilikuwa sabato, hapo Yesu alipofanya zile tope na kumfumbua macho. |
Ikawa alipokuwa akipita mashambani siku ya sabato, wanafunzi wake walianza kuendelea njiani wakivunja masuke.
Ikawa alipoingia ndani ya nyumba ya mtu mmoja miongoni mwa wakuu wa Mafarisayo siku ya sabato, ale chakula, walikuwa wakimvizia.
Mara yule mtu akawa mzima, akajitwika godoro lake, akaenda. Nayo ilikuwa ni sabato siku hiyo.
Alipokwisha kusema hayo, alitema mate chini, akafanya tope kwa yale mate. Akampaka kipofu tope machoni,