Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Yohana 9:14 - Swahili Revised Union Version

14 Nayo ilikuwa sabato, hapo Yesu alipofanya zile tope na kumfumbua macho.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

14 Siku hiyo Yesu alipofanya tope na kumfumbua macho mtu huyo, ilikuwa siku ya Sabato.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

14 Siku hiyo Yesu alipofanya tope na kumfumbua macho mtu huyo, ilikuwa siku ya Sabato.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

14 Siku hiyo Yesu alipofanya tope na kumfumbua macho mtu huyo, ilikuwa siku ya Sabato.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

14 Basi siku hiyo Isa alitengeneza tope na kuyafungua macho ya huyo mtu ilikuwa Sabato.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

14 Basi siku hiyo Isa alipotengeneza tope na kuyafungua macho ya huyo mtu ilikuwa Sabato.

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

14 Nayo ilikuwa sabato, hapo Yesu alipofanya zile tope na kumfumbua macho.

Tazama sura Nakili




Yohana 9:14
11 Marejeleo ya Msalaba  

Ikawa alipokuwa akipita mashambani siku ya sabato, wanafunzi wake walianza kuendelea njiani wakivunja masuke.


Ikawa alipoingia ndani ya nyumba ya mtu mmoja miongoni mwa wakuu wa Mafarisayo siku ya sabato, ale chakula, walikuwa wakimvizia.


Kwa sababu hiyo Wayahudi wakamwudhi Yesu, kwa kuwa alitenda hayo siku ya sabato.


Mara yule mtu akawa mzima, akajitwika godoro lake, akaenda. Nayo ilikuwa ni sabato siku hiyo.


Basi wakampeleka kwa Mafarisayo yule aliyekuwa kipofu zamani.


Alipokwisha kusema hayo, alitema mate chini, akafanya tope kwa yale mate. Akampaka kipofu tope machoni,


Tufuate:

Matangazo


Matangazo