Yohana 9:13 - Swahili Revised Union Version13 Basi wakampeleka kwa Mafarisayo yule aliyekuwa kipofu zamani. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema13 Kisha wakampeleka huyo mtu aliyekuwa kipofu kwa Mafarisayo. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND13 Kisha wakampeleka huyo mtu aliyekuwa kipofu kwa Mafarisayo. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza13 Kisha wakampeleka huyo mtu aliyekuwa kipofu kwa Mafarisayo. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu13 Wakamleta yule mtu aliyekuwa kipofu hapo awali kwa Mafarisayo. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu13 Wakamleta kwa Mafarisayo yule mtu aliyekuwa kipofu hapo awali. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI13 Basi wakampeleka kwa Mafarisayo yule aliyekuwa kipofu zamani. Tazama sura |