Mtu yeyote atakayemwua mtu, huyo mwuaji atauawa kwa vinywa vya mashahidi; lakini shahidi mmoja hatashuhudia juu ya mtu akauliwa.
Yohana 8:18 - Swahili Revised Union Version Mimi ndimi ninayejishuhudia mwenyewe, naye Baba aliyenituma ananishuhudia. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Mimi najishuhudia mwenyewe, naye Baba aliyenituma, ananishuhudia pia.” Biblia Habari Njema - BHND Mimi najishuhudia mwenyewe, naye Baba aliyenituma, ananishuhudia pia.” Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Mimi najishuhudia mwenyewe, naye Baba aliyenituma, ananishuhudia pia.” Neno: Bibilia Takatifu Mimi najishuhudia mwenyewe, naye Baba aliyenituma hunishuhudia.” Neno: Maandiko Matakatifu Mimi najishuhudia mwenyewe, naye Baba aliyenituma hunishuhudia.” BIBLIA KISWAHILI Mimi ndimi ninayejishuhudia mwenyewe, naye Baba aliyenituma ananishuhudia. |
Mtu yeyote atakayemwua mtu, huyo mwuaji atauawa kwa vinywa vya mashahidi; lakini shahidi mmoja hatashuhudia juu ya mtu akauliwa.
Mimi ndimi mlango; mtu akiingia kwa mimi, ataokoka; ataingia na kutoka, naye atapata malisho.
Yesu akamwambia, Mimi ndimi huo ufufuo, na uzima. Yeye aniaminiye mimi, hata akifa, atakuwa anaishi;
Yesu akamwambia, Mimi ndimi njia, na kweli, na uzima; mtu haji kwa Baba, ila kwa njia ya mimi.
Basi Yesu akawaambia tena akasema, Mimi ndimi nuru ya ulimwengu, yeye anifuataye hatakwenda gizani kamwe, bali atakuwa na nuru ya uzima.
Niliyoyaona kwa Baba ndiyo niyanenayo; nanyi vivyo hivyo mliyoyasikia kwa baba yenu ndiyo myatendayo.
Mungu naye akishuhudia pamoja nao kwa ishara na ajabu na nguvu za namna nyingi, na kwa karama za Roho Mtakatifu, kama alivyopenda mwenyewe.