Yohana 8:51 - Swahili Revised Union Version51 Amin, amin, nawaambia, Mtu akilishika neno langu, hataona mauti milele. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema51 Kweli nawaambieni, anayeuzingatia ujumbe wangu hatakufa milele.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND51 Kweli nawaambieni, anayeuzingatia ujumbe wangu hatakufa milele.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza51 Kweli nawaambieni, anayeuzingatia ujumbe wangu hatakufa milele.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu51 Amin, amin nawaambia, mtu yeyote akilitii neno langu, hataona mauti milele.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu51 Amin, amin nawaambia, mtu yeyote akilitii neno langu hataona mauti milele.” Tazama suraBIBLIA KISWAHILI51 Amin, amin, nawaambia, Mtu akilishika neno langu, hataona mauti milele. Tazama sura |