Akamwambia, Wasipowasikia Musa na manabii, hawatashawishika hata mtu akifufuka katika wafu.
Yohana 6:36 - Swahili Revised Union Version Lakini niliwaambia ya kwamba mmeniona wala hamwamini. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Lakini niliwaambieni kwamba ingawa mmeniona hamniamini. Biblia Habari Njema - BHND Lakini niliwaambieni kwamba ingawa mmeniona hamniamini. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Lakini niliwaambieni kwamba ingawa mmeniona hamniamini. Neno: Bibilia Takatifu Lakini kama nilivyowaambia, mmeniona lakini bado hamwamini. Neno: Maandiko Matakatifu Lakini kama nilivyowaambia, mmeniona lakini bado hamwamini. BIBLIA KISWAHILI Lakini niliwaambia ya kwamba mmeniona wala hamwamini. |
Akamwambia, Wasipowasikia Musa na manabii, hawatashawishika hata mtu akifufuka katika wafu.
Kama nisingalitenda kwao kazi asizozitenda mtu mwingine, wasingalikuwa na dhambi; lakini sasa wametuona mimi na Baba yangu, na kutuchukia.
Yesu akawajibu, akasema, Amin, amin, nawaambieni, Ninyi mnanitafuta, si kwa sababu mliona ishara, bali kwa sababu mlikula ile mikate mkashiba.
Kwa kuwa mapenzi yake Baba yangu ni haya, ya kwamba kila amtazamaye Mwana na kumwamini yeye, awe na uzima wa milele; nami nitamfufua siku ya mwisho.
Lakini kuna wengine miongoni mwenu wasioamini. Kwa maana Yesu alijua tangu mwanzo ni nani wasioamini, naye ni nani atakayemsaliti.