Yohana 6:30 - Swahili Revised Union Version30 Wakamwambia, Unafanya ishara gani basi, ili tuione tukakuamini? Unatenda kazi gani? Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema30 Hapo wakamwambia, “Utafanya ishara gani ili tuione tupate kukuamini? Utafanya kitu gani? Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND30 Hapo wakamwambia, “Utafanya ishara gani ili tuione tupate kukuamini? Utafanya kitu gani? Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza30 Hapo wakamwambia, “Utafanya ishara gani ili tuione tupate kukuamini? Utafanya kitu gani? Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu30 Hivyo wakamuuliza, “Utafanya ishara gani ya muujiza, ili tuione tukuamini? Utafanya jambo gani? Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu30 Hivyo wakamuuliza, “Utafanya ishara gani ya muujiza, ili tuione tukuamini? Utafanya jambo gani? Tazama suraBIBLIA KISWAHILI30 Wakamwambia, Unafanya ishara gani basi, ili tuione tukakuamini? Unatenda kazi gani? Tazama sura |