Yohana 6:29 - Swahili Revised Union Version29 Yesu akajibu, akawaambia, Hii ndiyo kazi ya Mungu, mmwamini yeye aliyetumwa na yeye. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema29 Yesu akawajibu, “Hii ndiyo kazi anayotaka Mungu mwifanye: Kumwamini yule aliyemtuma.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND29 Yesu akawajibu, “Hii ndiyo kazi anayotaka Mungu mwifanye: Kumwamini yule aliyemtuma.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza29 Yesu akawajibu, “Hii ndiyo kazi anayotaka Mungu mwifanye: kumwamini yule aliyemtuma.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu29 Isa akawajibu, “Kazi ya Mungu ndiyo hii: Mwaminini yeye aliyetumwa naye.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu29 Isa akawajibu, “Kazi ya Mungu ndiyo hii: Mwaminini yeye aliyetumwa naye.” Tazama suraBIBLIA KISWAHILI29 Yesu akajibu, akawaambia, Hii ndiyo kazi ya Mungu, mmwamini Yeye aliyetumwa na Yeye. Tazama sura |