Na alipokwisha kuingia hekaluni, wakuu wa makuhani na wazee wa watu wakamwendea alipokuwa akifundisha, wakasema, Ni kwa amri gani unatenda mambo haya? Naye ni nani aliyekupa amri hii?
Yohana 5:12 - Swahili Revised Union Version Basi wakamwuliza, Yule aliyekuambia, Jitwike, uende, ni nani? Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Nao wakamwuliza, “Huyo mtu aliyekuambia: ‘Chukua mkeka wako, utembee,’ ni nani?” Biblia Habari Njema - BHND Nao wakamwuliza, “Huyo mtu aliyekuambia: ‘Chukua mkeka wako, utembee,’ ni nani?” Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Nao wakamwuliza, “Huyo mtu aliyekuambia: ‘Chukua mkeka wako, utembee,’ ni nani?” Neno: Bibilia Takatifu Wakamuuliza, “Ni mtu gani huyo aliyekuambia uchukue mkeka wako uende?” Neno: Maandiko Matakatifu Wakamuuliza, “Ni mtu gani huyo aliyekuambia uchukue mkeka wako uende?” BIBLIA KISWAHILI Basi wakamwuliza, Yule aliyekuambia, Jitwike, uende, ni nani? |
Na alipokwisha kuingia hekaluni, wakuu wa makuhani na wazee wa watu wakamwendea alipokuwa akifundisha, wakasema, Ni kwa amri gani unatenda mambo haya? Naye ni nani aliyekupa amri hii?
Lakini yule mtu aliyeponywa hakumjua ni nani; maana Yesu alikuwa amejitenga, kwa sababu palikuwa na watu wengi mahali pale.
Wakaambiana, Ni nani aliyetenda jambo hili? Walipotafuta habari na kuuliza, wakasema, Gideoni, mwana wa Yoashi, ndiye aliyetenda jambo hili.
Ndipo Sauli akasema, Karibieni hapa, enyi wakuu wote wa watu; mjue na kuona dhambi hii ya leo imekuwa katika kosa gani.