Na divai imfurahishe mtu moyo wake. Aung'aze uso wake kwa mafuta, Na mkate umburudishe mtu moyo wake.
Yohana 2:3 - Swahili Revised Union Version Hata divai ilipowaishia, mamaye Yesu akamwambia, Hawana divai. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Divai ilipokwisha, mama yake akamwambia, “Hawana divai!” Biblia Habari Njema - BHND Divai ilipokwisha, mama yake akamwambia, “Hawana divai!” Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Divai ilipokwisha, mama yake akamwambia, “Hawana divai!” Neno: Bibilia Takatifu Divai ilipokwisha, mama yake Isa akamwambia, “Wameishiwa na divai.” Neno: Maandiko Matakatifu Divai ilipokwisha, mama yake Isa akamwambia, “Wameishiwa na divai.” BIBLIA KISWAHILI Hata divai ilipowaishia, mamaye Yesu akamwambia, Hawana divai. |
Na divai imfurahishe mtu moyo wake. Aung'aze uso wake kwa mafuta, Na mkate umburudishe mtu moyo wake.
Karamu hufanywa kwa ajili ya kicheko, Na divai huyafurahisha maisha; Na fedha huleta jawabu la mambo yote.
Pana kilio katika njia kuu kwa sababu ya divai; furaha yote imetiwa giza, na changamko la nchi limetoweka.
kwa maana hii ndiyo damu yangu ya agano, imwagikayo kwa ajili ya wengi kwa ondoleo la dhambi.
Msijisumbue kwa neno lolote; bali katika kila neno kwa kusali na kuomba, pamoja na kushukuru, haja zenu na zijulikane na Mungu.