Yohana 2:3 - Swahili Revised Union Version3 Hata divai ilipowaishia, mamaye Yesu akamwambia, Hawana divai. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema3 Divai ilipokwisha, mama yake akamwambia, “Hawana divai!” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND3 Divai ilipokwisha, mama yake akamwambia, “Hawana divai!” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza3 Divai ilipokwisha, mama yake akamwambia, “Hawana divai!” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu3 Divai ilipokwisha, mama yake Isa akamwambia, “Wameishiwa na divai.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu3 Divai ilipokwisha, mama yake Isa akamwambia, “Wameishiwa na divai.” Tazama suraBIBLIA KISWAHILI3 Hata divai ilipowaishia, mamaye Yesu akamwambia, Hawana divai. Tazama sura |