Yohana 11:3 - Swahili Revised Union Version3 Basi wale dada wakatuma ujumbe kwake wakisema, Bwana, yeye umpendaye ni mgonjwa. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema3 Basi, hao dada wakatuma ujumbe huu kwa Yesu: “Bwana, rafiki yako ni mgonjwa!” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND3 Basi, hao dada wakatuma ujumbe huu kwa Yesu: “Bwana, rafiki yako ni mgonjwa!” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza3 Basi, hao dada wakatuma ujumbe huu kwa Yesu: “Bwana, rafiki yako ni mgonjwa!” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu3 Hivyo hawa dada wawili walituma ujumbe kwa Isa kumwambia, “Bwana, yule umpendaye ni mgonjwa.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu3 Hivyo hawa dada wawili walituma ujumbe kwa Isa kumwambia, “Bwana Isa, yule umpendaye ni mgonjwa.” Tazama suraBIBLIA KISWAHILI3 Basi wale dada wakatuma ujumbe kwake wakisema, Bwana, yeye umpendaye ni mgonjwa. Tazama sura |