Isaya 24:11 - Swahili Revised Union Version11 Pana kilio katika njia kuu kwa sababu ya divai; furaha yote imetiwa giza, na changamko la nchi limetoweka. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema11 Kuna kilio barabarani kwa kukosa divai; shangwe yote imekoma, furaha imetoweka duniani. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND11 Kuna kilio barabarani kwa kukosa divai; shangwe yote imekoma, furaha imetoweka duniani. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza11 Kuna kilio barabarani kwa kukosa divai; shangwe yote imekoma, furaha imetoweka duniani. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu11 Barabarani wanalilia kupata mvinyo, furaha yote imegeuka kuwa majonzi, furaha yote imefukuziwa mbali na dunia. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu11 Barabarani wanalilia kupata mvinyo, furaha yote imegeuka kuwa majonzi, furaha yote imefukuziwa mbali na dunia. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI11 Pana kilio katika njia kuu kwa sababu ya divai; furaha yote imetiwa giza, na changamko la nchi limetoweka. Tazama sura |