Yohana 11:34 - Swahili Revised Union Version akasema, Mmemweka wapi? Wakamwambia, Bwana, njoo utazame. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Kisha akawauliza, “Mlimweka wapi?” Wakamwambia, “Bwana, njoo uone.” Biblia Habari Njema - BHND Kisha akawauliza, “Mlimweka wapi?” Wakamwambia, “Bwana, njoo uone.” Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Kisha akawauliza, “Mlimweka wapi?” Wakamwambia, “Bwana, njoo uone.” Neno: Bibilia Takatifu Akauliza, “Mmemweka wapi?” Wakamwambia, “Bwana, njoo upaone.” Neno: Maandiko Matakatifu Akauliza, “Mmemweka wapi?” Wakamwambia, “Bwana, njoo upaone.” BIBLIA KISWAHILI akasema, Mmemweka wapi? Wakamwambia, Bwana, njoo utazame. |
Naye akawaambia, Msistaajabu; mnamtafuta Yesu Mnazareti, aliyesulubiwa; amefufuka; hayupo hapa; patazameni mahali walipomweka.
Akawaambia, Njooni, nanyi mtaona. Wakaenda, wakaona akaapo, wakakaa kwake siku ile. Nayo ilikuwa yapata saa kumi.
Basi Yesu alipomwona analia, na wale Wayahudi waliofuatana naye wanalia, aliugua rohoni, akafadhaika roho yake,
Basi akaenda mbio, akafika kwa Simoni Petro na kwa yule mwanafunzi mwingine ambaye Yesu alimpenda, akawaambia, Wamemwondoa Bwana kaburini, wala hatujui walikomweka.