Yohana 11:34 - Swahili Revised Union Version34 akasema, Mmemweka wapi? Wakamwambia, Bwana, njoo utazame. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema34 Kisha akawauliza, “Mlimweka wapi?” Wakamwambia, “Bwana, njoo uone.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND34 Kisha akawauliza, “Mlimweka wapi?” Wakamwambia, “Bwana, njoo uone.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza34 Kisha akawauliza, “Mlimweka wapi?” Wakamwambia, “Bwana, njoo uone.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu34 Akauliza, “Mmemweka wapi?” Wakamwambia, “Bwana, njoo upaone.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu34 Akauliza, “Mmemweka wapi?” Wakamwambia, “Bwana, njoo upaone.” Tazama suraBIBLIA KISWAHILI34 akasema, Mmemweka wapi? Wakamwambia, Bwana, njoo utazame. Tazama sura |