Yohana 11:18 - Swahili Revised Union Version Na Bethania ilikuwa karibu na Yerusalemu, kadiri ya maili mbili hivi; Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Kijiji cha Bethania kilikuwa karibu na Yerusalemu, umbali upatao kilomita tatu. Biblia Habari Njema - BHND Kijiji cha Bethania kilikuwa karibu na Yerusalemu, umbali upatao kilomita tatu. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Kijiji cha Bethania kilikuwa karibu na Yerusalemu, umbali upatao kilomita tatu. Neno: Bibilia Takatifu Basi Bethania ulikuwa karibu na Yerusalemu, umbali wa yamkini maili mbili, Neno: Maandiko Matakatifu Basi Bethania ulikuwa karibu na Yerusalemu umbali wa karibu maili mbili, BIBLIA KISWAHILI Na Bethania ilikuwa karibu na Yerusalemu, kadiri ya maili mbili hivi; |
Na tazama, siku ile ile watu wawili miongoni mwao walikuwa wakienda katika kijiji kimoja, jina lake Emau, kilichokuwa mbali na Yerusalemu kama mwendo wa saa mbili.
Basi mtu mmoja alikuwa mgonjwa, Lazaro wa Bethania, mwenyeji wa mji wa Mariamu na Martha, dada yake.
Basi wakavuta makasia kadiri ya maili tatu nne, wakamwona Yesu anakwenda juu ya bahari na kuikaribia mashua; wakaogopa.
Shinikizo lile likakanyagwa nje ya mji, damu ikatoka katika shinikizo mpaka kwenye hatamu za farasi, kama mwendo wa maili mia mbili.
Na ule mji ni wa mraba, na marefu yake ni sawasawa na mapana yake. Akaupima mji kwa ule mwanzi; ulikuwa kama maili elfu moja na mia tano; marefu yake na mapana yake na kwenda juu kwake ni sawasawa.