Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -

Luka 24:13 - Swahili Revised Union Version

13 Na tazama, siku ile ile watu wawili miongoni mwao walikuwa wakienda katika kijiji kimoja, jina lake Emau, kilichokuwa mbali na Yerusalemu kama mwendo wa saa mbili.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

13 Siku hiyohiyo, wawili kati ya wafuasi wake Yesu wakawa wanakwenda katika kijiji kimoja kiitwacho Emau, umbali wa kilomita kumi na moja kutoka Yerusalemu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

13 Siku hiyohiyo, wawili kati ya wafuasi wake Yesu wakawa wanakwenda katika kijiji kimoja kiitwacho Emau, umbali wa kilomita kumi na moja kutoka Yerusalemu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

13 Siku hiyohiyo, wawili kati ya wafuasi wake Yesu wakawa wanakwenda katika kijiji kimoja kiitwacho Emau, umbali wa kilomita kumi na moja kutoka Yerusalemu.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

13 Ikawa siku hiyo hiyo, wanafunzi wawili wa Isa walikuwa njiani wakienda kijiji kilichoitwa Emau, yapata maili saba kutoka Yerusalemu.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

13 Ikawa siku iyo hiyo, wanafunzi wawili wa Isa walikuwa njiani wakienda kijiji kilichoitwa Emau, yapata maili saba kutoka Yerusalemu.

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

13 Na tazama, siku ile ile watu wawili miongoni mwao walikuwa wakienda katika kijiji kimoja, jina lake Emau, kilichokuwa mbali na Yerusalemu kama mwendo wa saa mbili.

Tazama sura Nakili

Luka 24:13
3 Marejeleo ya Msalaba  

Nao walikuwa wakizungumza wao kwa wao habari za mambo hayo yote yaliyotukia.

Akajibu mmoja wao, jina lake Kleopa, akamwambia, Je! Wewe peke yako u mgeni katika Yerusalemu, hata huyajui yaliyotukia humo siku hizi?

Tufuate:

Matangazo

Matangazo