Yohana 10:39 - Swahili Revised Union Version Wakatafuta tena kumkamata; lakini akatoka mikononi mwao. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Wakajaribu tena kumkamata lakini akachopoka mikononi mwao. Biblia Habari Njema - BHND Wakajaribu tena kumkamata lakini akachopoka mikononi mwao. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Wakajaribu tena kumkamata lakini akachopoka mikononi mwao. Neno: Bibilia Takatifu Ndipo wakajaribu kumkamata kwa mara nyingine, lakini akaponyoka kutoka mikononi mwao. Neno: Maandiko Matakatifu Ndipo wakajaribu kumkamata kwa mara nyingine, lakini akaponyoka kutoka mikononi mwao. BIBLIA KISWAHILI Wakatafuta tena kumkamata; lakini akatoka mikononi mwao. |
Basi wakatafuta kumkamata; lakini hakuna mtu aliyeunyosha mkono wake ili kumshika, kwa sababu saa yake ilikuwa haijafika bado.