Yohana 10:40 - Swahili Revised Union Version40 Akaenda zake tena ng'ambo ya Yordani, mpaka mahali pale alipokuwapo Yohana akibatiza hapo kwanza, akakaa huko. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema40 Yesu akaenda tena ngambo ya mto Yordani, mahali Yohane alipokuwa akibatiza, akakaa huko. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND40 Yesu akaenda tena ngambo ya mto Yordani, mahali Yohane alipokuwa akibatiza, akakaa huko. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza40 Yesu akaenda tena ng'ambo ya mto Yordani, mahali Yohane alipokuwa akibatiza, akakaa huko. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu40 Isa akaenda tena ng’ambo ya Yordani hadi mahali Yahya alikuwa akibatiza hapo awali, naye akakaa huko. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu40 Akaenda tena ng’ambo ya Mto Yordani mpaka mahali pale ambapo Yahya alikuwa akibatiza hapo awali, naye akakaa huko. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI40 Akaenda zake tena ng'ambo ya Yordani, mpaka mahali pale alipokuwapo Yohana akibatiza hapo kwanza, akakaa huko. Tazama sura |