Yakobo 4:15 - Swahili Revised Union Version Badala ya kusema, Bwana akipenda, tutakuwa hai na kufanya hivi au hivi. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Mngalipaswa kusema: “Bwana akitujalia tutaishi na tutafanya hiki au kile.” Biblia Habari Njema - BHND Mngalipaswa kusema: “Bwana akitujalia tutaishi na tutafanya hiki au kile.” Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Mngalipaswa kusema: “Bwana akitujalia tutaishi na tutafanya hiki au kile.” Neno: Bibilia Takatifu Badala yake, inawapasa kusema, “Kama Mwenyezi Mungu akipenda, tutaishi na kufanya hili ama lile.” Neno: Maandiko Matakatifu Badala yake, inawapasa kusema, “Kama Mwenyezi Mungu akipenda, tutaishi na kufanya hili ama lile.” BIBLIA KISWAHILI Badala ya kusema, Bwana akipenda, tutakuwa hai na kufanya hivi au hivi. |
bali aliagana nao, akisema, Nitarejea kwenu tena, Mungu akinijalia. Akatweka, akatoka Efeso,
siku zote katika sala zangu, nikiomba nije kwenu hivi karibu, Mungu akipenda kuifanikisha safari yangu.
Maana sipendi kuonana nanyi sasa, katika kupita tu, kwa sababu natarajia kukaa kwenu muda kidogo, Bwana akinijalia.
Lakini nitakuja kwenu upesi, nikijaliwa, nami nitafahamu, si neno lao tu wajivunao, bali nguvu zao.