Kwamba utafanya jambo hili, na Mungu akikuagiza hivyo, basi utaweza kusimama wewe, na watu hawa wote nao watakwenda mahali pao kwa amani.
Walawi 24:12 - Swahili Revised Union Version Nao wakamtia kifungoni, ili wapate kuambiwa neno litakalotoka kinywani pa BWANA. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema wakamtia ndani mpaka hapo watakapofunuliwa matakwa ya Mwenyezi-Mungu. Biblia Habari Njema - BHND wakamtia ndani mpaka hapo watakapofunuliwa matakwa ya Mwenyezi-Mungu. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza wakamtia ndani mpaka hapo watakapofunuliwa matakwa ya Mwenyezi-Mungu. Neno: Bibilia Takatifu Nao wakamweka mahabusu hadi mapenzi ya Mwenyezi Mungu yawe wazi kwao. Neno: Maandiko Matakatifu Nao wakamweka mahabusu mpaka mapenzi ya bwana yawe wazi kwao. BIBLIA KISWAHILI Nao wakamtia kifungoni, ili wapate kuambiwa neno litakalotoka kinywani mwa BWANA. |
Kwamba utafanya jambo hili, na Mungu akikuagiza hivyo, basi utaweza kusimama wewe, na watu hawa wote nao watakwenda mahali pao kwa amani.