Walawi 1:6 - Swahili Revised Union Version Kisha atachuna sadaka ya kuteketeza na kuikata vipande vyake. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Huyo mtu atamchuna huyo mnyama wa sadaka ya kuteketezwa na kumkata vipandevipande. Biblia Habari Njema - BHND Huyo mtu atamchuna huyo mnyama wa sadaka ya kuteketezwa na kumkata vipandevipande. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Huyo mtu atamchuna huyo mnyama wa sadaka ya kuteketezwa na kumkata vipandevipande. Neno: Bibilia Takatifu Ataichuna hiyo sadaka ya kuteketezwa na kuikata vipande vipande. Neno: Maandiko Matakatifu Ataichuna hiyo sadaka ya kuteketezwa na kuikata vipande vipande. BIBLIA KISWAHILI Kisha atachuna sadaka ya kuteketeza na kuikata vipande vipande. |
Kisha akazipanga zile kuni, akamkata yule ng'ombe vipande vipande, akaviweka juu ya kuni. Akasema, Jazeni mapipa manne maji, mkayamwage juu ya sadaka ya kuteketezwa, na juu ya kuni.
Tena hizo kulabu, ambazo urefu wake ni shubiri, zilifungwa ndani pande zote; na juu ya meza hizo ilikuwako nyama ya matoleo.
Tena kuhani atakayesongeza sadaka ya kuteketezwa ya mtu awaye yote, huyo kuhani atatwaa awe nayo ngozi ya huyo mnyama wa sadaka ya kuteketezwa aliyemsongeza.