Walawi 1:7 - Swahili Revised Union Version7 Kisha wana wa Haruni, watatia moto juu ya madhabahu, na kuzipanga kuni juu ya moto, Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema7 Hao makuhani wazawa wa Aroni watazipanga kuni juu ya madhabahu na kuwasha moto. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND7 Hao makuhani wazawa wa Aroni watazipanga kuni juu ya madhabahu na kuwasha moto. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza7 Hao makuhani wazawa wa Aroni watazipanga kuni juu ya madhabahu na kuwasha moto. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu7 Wana wa Haruni kuhani wataweka moto juu ya madhabahu na kupanga kuni juu ya huo moto. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu7 Wana wa Haruni kuhani wataweka moto juu ya madhabahu na kupanga kuni juu ya huo moto. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI7 Kisha wana wa Haruni, watatia moto juu ya madhabahu, na kuzipanga kuni juu ya moto, Tazama sura |