Walawi 2:6 - Swahili Revised Union Version6 Utaukatakata vipande, na kutia mafuta juu yake; ni sadaka ya unga. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema6 Mikate hiyo itakatwakatwa na kumiminiwa mafuta; hiyo ni sadaka ya nafaka. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND6 Mikate hiyo itakatwakatwa na kumiminiwa mafuta; hiyo ni sadaka ya nafaka. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza6 Mikate hiyo itakatwakatwa na kumiminiwa mafuta; hiyo ni sadaka ya nafaka. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu6 Vunjavunja na kumimina mafuta juu yake; hii ni sadaka ya nafaka. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu6 Ukande na kumimina mafuta juu yake; hii ni sadaka ya nafaka. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI6 Utaukatakata vipande, na kutia mafuta juu yake; ni sadaka ya unga. Tazama sura |