Nami nakuambia, Wewe ndiwe Petro, na juu ya mwamba huu nitalijenga kanisa langu; wala milango ya kuzimu haitalishinda.
Waebrania 10:21 - Swahili Revised Union Version na kuwa na kuhani mkuu juu ya nyumba ya Mungu; Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Basi, tunaye kuhani maarufu aliye na mamlaka juu ya nyumba ya Mungu. Biblia Habari Njema - BHND Basi, tunaye kuhani maarufu aliye na mamlaka juu ya nyumba ya Mungu. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Basi, tunaye kuhani maarufu aliye na mamlaka juu ya nyumba ya Mungu. Neno: Bibilia Takatifu basi kwa kuwa tunaye Kuhani Mkuu juu ya nyumba ya Mungu, Neno: Maandiko Matakatifu basi kwa kuwa tunaye Kuhani Mkuu juu ya nyumba ya Mwenyezi Mungu, BIBLIA KISWAHILI na kuwa na kuhani mkuu juu ya nyumba ya Mungu; |
Nami nakuambia, Wewe ndiwe Petro, na juu ya mwamba huu nitalijenga kanisa langu; wala milango ya kuzimu haitalishinda.
Lakini nikikawia, upate kujua jinsi iwapasavyo watu kuenenda katika nyumba ya Mungu, iliyo kanisa la Mungu aliye hai, nguzo na msingi wa kweli.
Hivyo ilimpasa kufananishwa na ndugu zake katika mambo yote, apate kuwa kuhani mkuu mwenye rehema, mwaminifu katika mambo ya Mungu, ili afanye kafara ya suluhu kwa dhambi za watu wake.
Kwa hiyo, ndugu watakatifu, wenye kuushiriki mwito wa mbinguni, mtafakarini sana Mtume na Kuhani Mkuu wa maungamo yetu, Yesu,
alimoingia Yesu kwa ajili yetu, mtangulizi wetu, amekuwa kuhani mkuu hata milele kwa mfano wa Melkizedeki.
Maana ilitupasa sisi tuwe na kuhani mkuu wa namna hii aliye mtakatifu, asiyekuwa na uovu, asiyekuwa na waa lolote, aliyetengwa na wakosaji, aliyekuwa juu kuliko mbingu;
Basi, katika hayo tunayosema, neno lililo kuu ndilo hili: Tunaye kuhani mkuu wa namna hii, aliyeketi mkono wa kulia wa kiti cha enzi cha Ukuu mbinguni,