Waebrania 10:20 - Swahili Revised Union Version20 njia ile aliyotuanzia iliyo mpya, iliyo hai, ipitayo katika pazia, yaani, mwili wake; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema20 Yeye ametufungulia njia mpya, njia ya uhai, kupitia lile pazia, yaani mwili wake mwenyewe. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND20 Yeye ametufungulia njia mpya, njia ya uhai, kupitia lile pazia, yaani mwili wake mwenyewe. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza20 Yeye ametufungulia njia mpya, njia ya uhai, kupitia lile pazia, yaani mwili wake mwenyewe. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu20 kwa njia mpya iliyo hai tuliyofunguliwa kwa ajili yetu kupitia kwenye lile pazia, yaani mwili wake, Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu20 kwa njia mpya iliyo hai tuliyofunguliwa kwa ajili yetu kupitia kwenye lile pazia, yaani, mwili wake, Tazama suraBIBLIA KISWAHILI20 njia ile aliyotuanzia iliyo mpya, iliyo hai, ipitayo katika pazia, yaani, mwili wake; Tazama sura |