Ufunuo 13:9 - Swahili Revised Union Version Mtu akiwa na sikio na asikie. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Aliye na masikio, na asikie! Biblia Habari Njema - BHND Aliye na masikio, na asikie! Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Aliye na masikio, na asikie! Neno: Bibilia Takatifu Yeye aliye na sikio na asikie. Neno: Maandiko Matakatifu Yeye aliye na sikio na asikie. BIBLIA KISWAHILI Mtu akiwa na sikio na asikie. |
Nyingine zikaanguka penye udongo mzuri; zikamea, zikazaa moja kwa mia. Alipokuwa akinena hayo alipaza sauti akisema, Mwenye masikio ya kusikizia, na asikie.
Yeye aliye na sikio, na alisikie neno hili ambalo Roho anayaambia makanisa. Yeye ashindaye hatapatikana na madhara ya mauti ya pili.
Yeye aliye na sikio, na alisikie neno hili ambalo Roho anayaambia makanisa. Yeye ashindaye nitampa baadhi ya ile mana iliyofichwa, nami nitampa jiwe jeupe, na juu ya jiwe hilo limeandikwa jina jipya asilolijua mtu ila yeye anayelipokea.
Yeye aliye na sikio, na alisikie neno hili ambalo Roho anayaambia makanisa. Yeye ashindaye, nitampa kula matunda ya mti wa uzima, ulio katika bustani ya Mungu.