Nehemia 7:62 - Swahili Revised Union Version Wana wa Delaya, wana wa Tobia, wana wa Nekoda, mia sita na arubaini na wawili. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema wazawa wa Delaya, Tobia na wa Nekoda; jumla: Watu 642. Biblia Habari Njema - BHND wazawa wa Delaya, Tobia na wa Nekoda; jumla: Watu 642. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza wazawa wa Delaya, Tobia na wa Nekoda; jumla: watu 642. Neno: Bibilia Takatifu wazao wa Delaya, Tobia na Nekoda, mia sita arobaini na wawili (642). BIBLIA KISWAHILI Wana wa Delaya, wana wa Tobia, wana wa Nekoda, mia sita na arobaini na wawili. |
Na hawa ndio watu waliokwea kutoka Tel-mela, na Tel-harsha, na Kerubu, na Adani, na Imeri; lakini hawakuweza kuonesha mbari za baba zao, wala kizazi chao, kwamba walikuwa wa Israeli;
Tena katika makuhani; Wana wa Habaya, wana wa Hakosi, wana wa Barzilai, yule aliyeoa mmojawapo wa binti za Barzilai, Mgileadi, akaitwa kwa jina lao.