Basi wenyeji wa kwanza waliokaa katika miliki yao katika miji yao walikuwa Israeli, na makuhani, na Walawi, na Wanethini.
Nehemia 7:46 - Swahili Revised Union Version Wanethini; wana wa Siha, wana wa Hasufa, wana wa Tabaothi; Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Koo za wahudumu hekaluni waliorudi kutoka uhamishoni zilikuwa: Ukoo wa Ziha, wa Hasufa, wa Tabaothi; Biblia Habari Njema - BHND Koo za wahudumu hekaluni waliorudi kutoka uhamishoni zilikuwa: Ukoo wa Ziha, wa Hasufa, wa Tabaothi; Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Koo za wahudumu hekaluni waliorudi kutoka uhamishoni zilikuwa: ukoo wa Ziha, wa Hasufa, wa Tabaothi; Neno: Bibilia Takatifu Watumishi wa Hekalu: wazao wa Siha, Hasufa, Tabaothi, Neno: Maandiko Matakatifu Watumishi wa Hekalu: wazao wa Siha, Hasufa, Tabaothi, BIBLIA KISWAHILI Wanethini; wana wa Siha, wana wa Hasufa, wana wa Tabaothi; |
Basi wenyeji wa kwanza waliokaa katika miliki yao katika miji yao walikuwa Israeli, na makuhani, na Walawi, na Wanethini.
wakaambatana na ndugu zao, wakuu wao, nao wakaingia katika laana na kiapo, ya kuwa wataiendea Torati ya Mungu, iliyotolewa kwa mkono wa Musa, mtumishi wa Mungu, na kuziangalia, na kuzitenda, amri zote za BWANA, Bwana wetu, na maagizo yake na sheria zake;
Basi hawa ndio viongozi wa jimbo waliokaa Yerusalemu; ila mijini mwa Yuda wakakaa kila mtu katika milki yake mijini mwao, yaani, Israeli, makuhani, na Walawi, na Wanethini, wazawa wa watumishi wa Sulemani.
(basi Wanethini hukaa Ofeli), mpaka mahali paelekeapo lango la maji kukabili mashariki, nao mnara utokezao.
Mabawabu; Wana wa Shalumu, wana wa Ateri, wana wa Talmoni, wana wa Akubu, wana wa Hatita, wana wa Shobai, mia moja thelathini na wanane.