Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Nehemia 7:45 - Swahili Revised Union Version

45 Mabawabu; Wana wa Shalumu, wana wa Ateri, wana wa Talmoni, wana wa Akubu, wana wa Hatita, wana wa Shobai, mia moja thelathini na wanane.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

45 Walinzi: Wazawa wa Shalumu, wa Ateri, wa Talmoni, wa Akubu, wa Hatita na wa Shobai, walikuwa 138.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

45 Walinzi: Wazawa wa Shalumu, wa Ateri, wa Talmoni, wa Akubu, wa Hatita na wa Shobai, walikuwa 138.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

45 Walinzi: wazawa wa Shalumu, wa Ateri, wa Talmoni, wa Akubu, wa Hatita na wa Shobai, walikuwa 138.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

45 Mabawabu wa malango: wazao wa Shalumu, Ateri, Talmoni, Akubu, Hatita na Shobai, mia moja thelathini na nane (138).

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

45 Mabawabu wa malango:

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

45 Mabawabu; Wana wa Shalumu, wana wa Ateri, wana wa Talmoni, wana wa Akubu, wana wa Hatita, wana wa Shobai, mia moja thelathini na wanane.

Tazama sura Nakili




Nehemia 7:45
6 Marejeleo ya Msalaba  

Basi wakaenda, wakawaita mabawabu wa mji; wakawaambia, Tulifika kituo cha Washami, na tazama, hapana mtu yeyote huko, wala sauti ya mtu, ila farasi wamefungwa, na punda wamefungwa, na hema zao kama walivyoziacha.


Akina bawabu; wazawa wa Shalumu, wazawa wa Ateri, wazawa wa Talmoni, wazawa wa Akubu, wazawa wa Hatita, wazawa wa Shobai; jumla yao ni mia moja thelathini na tisa.


Na baada yake akajenga Shalumu, mwana wa Haloheshi, mtawala wa nusu ya sehemu ya Yerusalemu, yeye na binti zake.


Waimbaji; Wana wa Asafu, mia moja arubaini na wanane.


Wanethini; wana wa Siha, wana wa Hasufa, wana wa Tabaothi;


Tufuate:

Matangazo


Matangazo