wa wana wa Asafu; Zakuri, na Yusufu, na Nethania, na Asharela, wana wa Asafu; walioamriwa na Asafu, aliyetabiri kwa amri ya mfalme.
Nehemia 7:44 - Swahili Revised Union Version Waimbaji; Wana wa Asafu, mia moja arubaini na wanane. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Waimbaji: Wazawa wa Asafu walikuwa 148. Biblia Habari Njema - BHND Waimbaji: Wazawa wa Asafu walikuwa 148. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Waimbaji: wazawa wa Asafu walikuwa 148. Neno: Bibilia Takatifu Waimbaji: wazao wa Asafu, mia moja arobaini na nane (148). Neno: Maandiko Matakatifu Waimbaji: BIBLIA KISWAHILI Waimbaji; Wana wa Asafu, mia moja arobaini na wanane. |
wa wana wa Asafu; Zakuri, na Yusufu, na Nethania, na Asharela, wana wa Asafu; walioamriwa na Asafu, aliyetabiri kwa amri ya mfalme.
Mabawabu; Wana wa Shalumu, wana wa Ateri, wana wa Talmoni, wana wa Akubu, wana wa Hatita, wana wa Shobai, mia moja thelathini na wanane.