Nehemia 7:43 - Swahili Revised Union Version43 Walawi; Wana wa Yeshua, wa Kadmieli wa wana wa Hodavia, sabini na wanne. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema43 Walawi wa ukoo wa Yeshua, yaani Kadmieli, wazawa wa Hodavia waliorudi kutoka uhamishoni walikuwa 74. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND43 Walawi wa ukoo wa Yeshua, yaani Kadmieli, wazawa wa Hodavia waliorudi kutoka uhamishoni walikuwa 74. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza43 Walawi wa ukoo wa Yeshua, yaani Kadmieli, wazawa wa Hodavia waliorudi kutoka uhamishoni walikuwa 74. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu43 Walawi: wazao wa Yeshua (kupitia Kadmieli kupitia jamaa ya Hodavia), sabini na wanne (74). Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu43 Walawi: Tazama suraBIBLIA KISWAHILI43 Walawi; Wana wa Yeshua, wa Kadmieli wa wana wa Hodavia, sabini na wanne. Tazama sura |