Wana wa Imeri, elfu moja hamsini na wawili.
wa ukoo wa Imeri: 1,052;
wazao wa Imeri, elfu moja hamsini na wawili (1,052);
ya kumi na tano Bilga, ya kumi na sita Imeri;
Wazawa wa Imeri, elfu moja hamsini na wawili.
Na baada yake akajenga Shemaya, mwana wa Shekania, mlinzi wa lango la mashariki.
Makuhani; Wana wa Yedaya, wa mbari ya Yeshua, mia tisa sabini na watatu.
Wana wa Pashuri, elfu moja mia mbili arubaini na saba.