Nehemia 7:39 - Swahili Revised Union Version39 Makuhani; Wana wa Yedaya, wa mbari ya Yeshua, mia tisa sabini na watatu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema39 Ifuatayo ni idadi ya makuhani waliorudi kutoka uhamishoni: Makuhani wa ukoo wa Yedaya, waliokuwa wazawa wa Yeshua: 973; Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND39 Ifuatayo ni idadi ya makuhani waliorudi kutoka uhamishoni: Makuhani wa ukoo wa Yedaya, waliokuwa wazawa wa Yeshua: 973; Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza39 Ifuatayo ni idadi ya makuhani waliorudi kutoka uhamishoni: makuhani wa ukoo wa Yedaya, waliokuwa wazawa wa Yeshua: 973; Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu39 Makuhani: wazao wa Yedaya (kwa jamaa ya Yeshua), mia tisa sabini na watatu (973); Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu39-42 Makuhani: Tazama suraBIBLIA KISWAHILI39 Makuhani; Wana wa Yedaya, wa mbari ya Yeshua, mia tisa sabini na watatu. Tazama sura |