Nehemia 7:31 - Swahili Revised Union Version Watu wa Mikmashi, mia moja na ishirini na wawili. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema wa mji wa Mikmashi: 122; Biblia Habari Njema - BHND wa mji wa Mikmashi: 122; Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza wa mji wa Mikmashi: 122; Neno: Bibilia Takatifu watu wa Mikmashi, mia moja ishirini na wawili (122); BIBLIA KISWAHILI Watu wa Mikmashi, mia moja na ishirini na wawili. |
Nao Wafilisti wakakusanyika ili wapigane na Waisraeli, magari elfu thelathini, na wapanda farasi elfu sita, na watu kama mchanga ulio ufuoni mwa bahari kwa wingi wao; wakapanda juu, wakapiga kambi yao katika Mikmashi, upande wa mashariki wa Beth-aveni.