Nehemia 7:26 - Swahili Revised Union Version Watu wa Bethlehemu na Netofa, mia moja na themanini na wanane. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Watu wa miji ifuatayo pia walirudi: Wa mji wa Bethlehemu na Netofa: 188; Biblia Habari Njema - BHND Watu wa miji ifuatayo pia walirudi: Wa mji wa Bethlehemu na Netofa: 188; Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Watu wa miji ifuatayo pia walirudi: wa mji wa Bethlehemu na Netofa: 188; Neno: Bibilia Takatifu watu wa Bethlehemu na Netofa, mia moja na themanini na nane (188); BIBLIA KISWAHILI Watu wa Bethlehemu na Netofa, mia moja na themanini na wanane. |
na Heledi, mwana wa Baana, Mnetofathi, na Itai, mwana wa Ribai, wa Gibea wa wana wa Benyamini;
Waimbaji wakakusanyika kutoka uwanda na viunga vya Yerusalemu, na kutoka vijiji vya Wanetofathi;
ndipo wakamwendea Gedalia huko Mizpa; nao ni hawa, Ishmaeli, mwana wa Nethania, na Yohana na Yonathani, wana wa Karea, na Seraya, mwana wa Tanhumethi, na wana wa Efai, Mnetofa, na Yezania, mwana wa Mmaaka, wao na watu wao.