Na wa wazawa wa Elamu; Matania, na Zekaria, na Yehieli, na Abdi, na Yeremothi, na Eliya.
Nehemia 7:12 - Swahili Revised Union Version Wana wa Elamu, elfu moja mia mbili hamsini na wanne. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema wa ukoo wa Elamu: 1,254; Biblia Habari Njema - BHND wa ukoo wa Elamu: 1,254; Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza wa ukoo wa Elamu: 1,254; Neno: Bibilia Takatifu wazao wa Elamu, elfu moja mia mbili hamsini na wanne (1,254); BIBLIA KISWAHILI Wana wa Elamu, elfu moja mia mbili hamsini na wanne. |
Na wa wazawa wa Elamu; Matania, na Zekaria, na Yehieli, na Abdi, na Yeremothi, na Eliya.
Wana wa Pahath-Moabu, wa wana wa Yeshua na Yoabu, elfu mbili mia nane na kumi na wanane.