Nehemia 7:11 - Swahili Revised Union Version11 Wana wa Pahath-Moabu, wa wana wa Yeshua na Yoabu, elfu mbili mia nane na kumi na wanane. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema11 wa ukoo wa Pahath-moabu, yaani wazawa wa Yeshua na Yoabu: 2,818; Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND11 wa ukoo wa Pahath-moabu, yaani wazawa wa Yeshua na Yoabu: 2,818; Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza11 wa ukoo wa Pahath-moabu, yaani wazawa wa Yeshua na Yoabu: 2,818; Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu11 wazao wa Pahath-Moabu (wa jamaa ya Yeshua na Yoabu), elfu mbili mia nane na kumi na nane (2,818); Tazama suraBIBLIA KISWAHILI11 Wana wa Pahath-Moabu, wa wana wa Yeshua na Yoabu, elfu mbili mia nane na kumi na wanane. Tazama sura |
Naye Ezra, kuhani, akasimama juu ya mimbari ya mti, waliyokuwa wameitengeneza kwa kusudi hilo; na karibu naye wakasimama Matithia, na Shema, na Anaya, na Uria, na Hilkia, na Maaseya, mkono wake wa kulia; na mkono wake wa kushoto, Pedaya, na Misbaeli, na Malkiya, na Hashumu, na Hashbadani, na Zekaria, na Meshulamu.