Wazawa wa Pahath-Moabu, wazawa wa Yeshua na Yoabu, elfu mbili mia nane na kumi na wawili.
Nehemia 7:11 - Swahili Revised Union Version Wana wa Pahath-Moabu, wa wana wa Yeshua na Yoabu, elfu mbili mia nane na kumi na wanane. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema wa ukoo wa Pahath-moabu, yaani wazawa wa Yeshua na Yoabu: 2,818; Biblia Habari Njema - BHND wa ukoo wa Pahath-moabu, yaani wazawa wa Yeshua na Yoabu: 2,818; Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza wa ukoo wa Pahath-moabu, yaani wazawa wa Yeshua na Yoabu: 2,818; Neno: Bibilia Takatifu wazao wa Pahath-Moabu (wa jamaa ya Yeshua na Yoabu), elfu mbili mia nane na kumi na nane (2,818); BIBLIA KISWAHILI Wana wa Pahath-Moabu, wa wana wa Yeshua na Yoabu, elfu mbili mia nane na kumi na wanane. |
Wazawa wa Pahath-Moabu, wazawa wa Yeshua na Yoabu, elfu mbili mia nane na kumi na wawili.
Malkiya, mwana wa Harimu, na Hashubu, mwana wa Pahath-moabu, wakajenga sehemu nyingine, na mnara wa tanuri.
Naye Ezra, kuhani, akasimama juu ya mimbari ya mti, waliyokuwa wameitengeneza kwa kusudi hilo; na karibu naye wakasimama Matithia, na Shema, na Anaya, na Uria, na Hilkia, na Maaseya, mkono wake wa kulia; na mkono wake wa kushoto, Pedaya, na Misbaeli, na Malkiya, na Hashumu, na Hashbadani, na Zekaria, na Meshulamu.