Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Ezra 2:6 - Swahili Revised Union Version

6 Wazawa wa Pahath-Moabu, wazawa wa Yeshua na Yoabu, elfu mbili mia nane na kumi na wawili.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

6 wa ukoo wa Pahath-moabu, yaani wazawa wa Yeshua na Yoabu: 2,812;

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

6 wa ukoo wa Pahath-moabu, yaani wazawa wa Yeshua na Yoabu: 2,812;

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

6 wa ukoo wa Pahath-moabu, yaani wazawa wa Yeshua na Yoabu: 2,812;

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

6 wazao wa Pahath-Moabu (wa jamaa ya Yeshua na Yoabu), elfu mbili mia nane na kumi na wawili (2,812);

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

6 Wana wa Pahath-Moabu, wana wa Yeshua na Yoabu, elfu mbili mia nane na kumi na wawili.

Tazama sura Nakili




Ezra 2:6
6 Marejeleo ya Msalaba  

Basi wakuu wetu na wawekwe kwa ajili ya mkutano wote, na watu wote walio katika miji yetu, waliooa wanawake wageni, na waje nyakati zilizoamriwa, tena pamoja nao na waje wazee wa kila mji, na waamuzi wa miji hiyo, hata ghadhabu kali ya Mungu wetu itakapoondolewa mbali, jambo hili likamalizike.


Na wa wazawa wa Pahath-Moabu; Adna, na Kelali, na Benaya, na Maaseya, na Matania, na Besaleli, na Binui, na Manase.


Wazawa wa Elamu, elfu moja mia mbili hamsini na wanne.


Wa wana wa Pahath-Moabu, Eliehoenai, mwana wa Zerahia; na pamoja naye wanaume mia mbili;


Wa wana wa Yoabu, Obadia, mwana wa Yehieli; na pamoja naye wanaume mia mbili na kumi na wanane.


Wana wa Pahath-Moabu, wa wana wa Yeshua na Yoabu, elfu mbili mia nane na kumi na wanane.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo