Nehemia 6:5 - Swahili Revised Union Version Ndipo Sanbalati akamtuma kwangu mtumishi wake vile vile mara ya tano, na barua wazi mkononi mwake; Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Mara ya tano, Sanbalati akanitumia barua ya hadhara kwa njia ya mjumbe wake. Biblia Habari Njema - BHND Mara ya tano, Sanbalati akanitumia barua ya hadhara kwa njia ya mjumbe wake. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Mara ya tano, Sanbalati akanitumia barua ya hadhara kwa njia ya mjumbe wake. Neno: Bibilia Takatifu Basi, mara ya tano, Sanbalati akamtuma msaidizi wake kwangu akiwa na ujumbe ule ule, naye alikuwa amechukua mkononi mwake barua isiyofungwa, Neno: Maandiko Matakatifu Basi, mara ya tano, Sanbalati akamtuma msaidizi wake kwangu akiwa na ujumbe wa aina ile ile, naye alikuwa amechukua mkononi mwake barua isiyofungwa, BIBLIA KISWAHILI Ndipo Sanbalati akamtuma kwangu mtumishi wake vile vile mara ya tano, na barua wazi mkononi mwake; |
nayo yakaandikwa humo, Habari imeenea katika mataifa, naye Geshemu asema neno lilo hilo, ya kwamba wewe na Wayahudi mnakusudia kuasi; ndiyo sababu unaujenga huo ukuta; nawe unataka kuwamiliki, ndivyo wasemavyo.
na katika madanganyo yote ya udhalimu kwa hao wanaopotea; kwa sababu hawakukubali kuipenda ile kweli, wapate kuokolewa.