Nehemia 6:5 - Swahili Revised Union Version5 Ndipo Sanbalati akamtuma kwangu mtumishi wake vile vile mara ya tano, na barua wazi mkononi mwake; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema5 Mara ya tano, Sanbalati akanitumia barua ya hadhara kwa njia ya mjumbe wake. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND5 Mara ya tano, Sanbalati akanitumia barua ya hadhara kwa njia ya mjumbe wake. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza5 Mara ya tano, Sanbalati akanitumia barua ya hadhara kwa njia ya mjumbe wake. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu5 Basi, mara ya tano, Sanbalati akamtuma msaidizi wake kwangu akiwa na ujumbe ule ule, naye alikuwa amechukua mkononi mwake barua isiyofungwa, Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu5 Basi, mara ya tano, Sanbalati akamtuma msaidizi wake kwangu akiwa na ujumbe wa aina ile ile, naye alikuwa amechukua mkononi mwake barua isiyofungwa, Tazama suraBIBLIA KISWAHILI5 Ndipo Sanbalati akamtuma kwangu mtumishi wake vile vile mara ya tano, na barua wazi mkononi mwake; Tazama sura |