2 Wakorintho 2:11 - Swahili Revised Union Version11 Shetani asije akapata kutushinda; kwa maana hatukosi kuzijua fikira zake. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema11 ili tusimpe nafasi Shetani atudanganye; maana twaijua mipango yake ilivyo. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND11 ili tusimpe nafasi Shetani atudanganye; maana twaijua mipango yake ilivyo. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza11 ili tusimpe nafasi Shetani atudanganye; maana twaijua mipango yake ilivyo. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu11 ili Shetani asitushinde. Kwa maana hatujakosa kuzijua hila zake. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu11 ili Shetani asitushinde. Kwa maana hatuachi kuzijua hila zake. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI11 Shetani asije akapata kutushinda; kwa maana hatukosi kuzijua fikira zake. Tazama sura |
BWANA akamwuliza Shetani, Je! Umemwangalia huyo mtumishi wangu Ayubu? Kwa kuwa hakuna hata mmoja aliye kama yeye duniani, mtu mkamilifu na mwelekevu, mwenye kumcha Mungu na kuepukana na uovu; naye hata sasa anashikamana na utimilifu wake, ijapokuwa ulinichochea juu yake, ili nimwangamize pasipokuwa na sababu.