Na wana wa Simeoni; Yemueli na Yamini, na Ohadi, na Yakini, na Sohari, na Shauli, mwana wa mwanamke Mkanaani.
Nehemia 11:10 - Swahili Revised Union Version Wa makuhani; Yedaya, Yoyaribu, Yakini, Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Makuhani waliokaa mjini Yerusalemu walikuwa: Yedaya, mwana wa Yoaribu, Yakini, Biblia Habari Njema - BHND Makuhani waliokaa mjini Yerusalemu walikuwa: Yedaya, mwana wa Yoaribu, Yakini, Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Makuhani waliokaa mjini Yerusalemu walikuwa: Yedaya, mwana wa Yoaribu, Yakini, Neno: Bibilia Takatifu Kutoka makuhani: Yedaya; mwana wa Yoyaribu; Yakini; Neno: Maandiko Matakatifu Kutoka makuhani: Yedaya, mwana wa Yoyaribu, Yakini, BIBLIA KISWAHILI Wa makuhani; Yedaya, Yoyaribu, Yakini, |
Na wana wa Simeoni; Yemueli na Yamini, na Ohadi, na Yakini, na Sohari, na Shauli, mwana wa mwanamke Mkanaani.
Ndipo nikatuma watu kwenda kumwita Eliezeri, na Arieli, na Shemaya, na Elnathani, na Yaribu, na Elnathani, na Nathani, na Zekaria, na Meshulamu, waliokuwa wakuu; na Yoyaribu, na Elnathani pia, waliokuwa waalimu.
na Seraya, mwana wa Hilkia, mwana wa Meshulamu, mwana wa Sadoki, mwana wa Merayothi, mwana wa Ahitubu, msimamizi wa nyumba ya Mungu,
Na Yoeli, mwana wa Zikri, alikuwa msimamizi wao; na Yuda, mwana wa Hasenua, alikuwa wa pili juu ya mji.