Mwanzo 8:10 - Swahili Revised Union Version Akangoja na siku saba tena; kisha akamtoa yule njiwa katika safina mara ya pili, Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Noa akangoja siku nyingine saba, kisha akamtoa tena huyo njiwa. Biblia Habari Njema - BHND Noa akangoja siku nyingine saba, kisha akamtoa tena huyo njiwa. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Noa akangoja siku nyingine saba, kisha akamtoa tena huyo njiwa. Neno: Bibilia Takatifu Nuhu akangojea siku saba zaidi, kisha akamtoa tena hua kutoka safina. Neno: Maandiko Matakatifu Nuhu akangojea siku saba zaidi kisha akamtoa tena hua kutoka safina. BIBLIA KISWAHILI Akangoja na siku saba tena; kisha akamtoa yule njiwa katika safina mara ya pili, |
Kwa maana baada ya siku saba nitainyeshea dunia mvua, siku arubaini mchana na usiku; na kila kilicho hai nilichokifanya juu ya uso wa nchi nitakifutilia mbali.
njiwa akamjia jioni, na tazama, alikuwa na jani bichi la mzeituni kinywani mwake, ambalo amelichuma, basi Nuhu akajua ya kwamba maji yamepunguka juu ya nchi.
bali yule njiwa hakuona mahali pa kutua kwa wayo wa mguu wake, akamrudia Nuhu safinani, maana maji yalikuwa juu ya uso wa nchi yote; naye akanyosha mkono, akamtwaa, akamwingiza mle safinani.
Naam, katika njia ya hukumu zako Sisi tumekungoja, Ee BWANA; Shauku ya nafsi zetu inaelekea Jina lako na ukumbusho wako.