Isaya 8:17 - Swahili Revised Union Version17 Nami nitamngojea BWANA, awafichaye uso wake nyumba ya Yakobo, nami nitamtazamia. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema17 Nitamngojea Mwenyezi-Mungu ambaye amejificha mbali na wazawa wa Yakobo; nitamtumainia. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND17 Nitamngojea Mwenyezi-Mungu ambaye amejificha mbali na wazawa wa Yakobo; nitamtumainia. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza17 Nitamngojea Mwenyezi-Mungu ambaye amejificha mbali na wazawa wa Yakobo; nitamtumainia. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu17 Nitamngojea Mwenyezi Mungu, ambaye ameificha nyumba ya Yakobo uso wake. Nitaliweka tumaini langu kwake. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu17 Nitamngojea bwana, ambaye ameificha nyumba ya Yakobo uso wake. Nitaliweka tumaini langu kwake. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI17 Nami nitamngojea BWANA, awafichaye uso wake nyumba ya Yakobo, nami nitamtazamia. Tazama sura |