Mwanzo 7:10 - Swahili Revised Union Version10 Ikawa baada ya siku hizo saba, maji ya gharika yakawa juu ya nchi. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema10 Baada ya siku saba, maji ya gharika yakaanza kuifunika nchi. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND10 Baada ya siku saba, maji ya gharika yakaanza kuifunika nchi. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza10 Baada ya siku saba, maji ya gharika yakaanza kuifunika nchi. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu10 Baada ya siku saba, maji ya gharika yakaja juu ya dunia. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu10 Baada ya siku saba, maji ya gharika yakaja juu ya dunia. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI10 Ikawa baada ya siku hizo saba, maji ya gharika yakawa juu ya nchi. Tazama sura |