Kaini akamjua mkewe; naye akapata mimba, akamzaa Henoko; akajenga mji akauita Henoko, kwa jina la mwanawe.
Mwanzo 5:18 - Swahili Revised Union Version Yaredi akaishi miaka mia moja na sitini na miwili, akamzaa Henoko. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Yaredi alipokuwa na umri wa miaka 162, alimzaa Henoki. Biblia Habari Njema - BHND Yaredi alipokuwa na umri wa miaka 162, alimzaa Henoki. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Yaredi alipokuwa na umri wa miaka 162, alimzaa Henoki. Neno: Bibilia Takatifu Yaredi alipokuwa ameishi miaka mia moja na sitini na mbili (162), akamzaa Idrisi. Neno: Maandiko Matakatifu Yaredi alipokuwa ameishi miaka 162, akamzaa Idrisi. BIBLIA KISWAHILI Yaredi akaishi miaka mia moja na sitini na miwili, akamzaa Henoko. |
Kaini akamjua mkewe; naye akapata mimba, akamzaa Henoko; akajenga mji akauita Henoko, kwa jina la mwanawe.
Basi alipokwisha kuyaona yale maono, mara tukataka kutoka kwenda Makedonia, kwa kuwa tuliona hakika ya kwamba Mungu ametuita tuwahubirie Habari Njema.